Zaburi 59:16
Zaburi 59:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mimi nitaimba sifa za nguvu yako; nitashangilia asubuhi juu ya fadhili zako; maana wewe umekuwa ngome yangu na kimbilio langu wakati wa taabu.
Shirikisha
Soma Zaburi 59Zaburi 59:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitaimba juu ya nguvu zako, Nitaimba kwa furaha juu ya fadhili zako asubuhi. Maana umekuwa ngome yangu, na kimbilio wakati wa mateso yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 59Zaburi 59:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nitaziimba nguvu zako asubuhi, Nitaziimba fadhili zako kwa furaha. Kwa kuwa ndiwe uliyekuwa ngome yangu, Na makimbilio siku ya shida yangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 59