Zaburi 45:17
Zaburi 45:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jina lako nitalifanya kuwa kumbukumbu Katika vizazi vyote. Kwa hiyo mataifa watakushukuru Milele na milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 45Zaburi 45:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitalifanya jina lako litukuzwe katika vizazi vyote, nayo mataifa yatakusifu daima na milele.
Shirikisha
Soma Zaburi 45