Zaburi 40:2
Zaburi 40:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliniondoa katika shimo la hatari, alinitoa katika matope ya dimbwi, akanisimamisha salama juu ya mwamba, na kuziimarisha hatua zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 40Zaburi 40:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 40Zaburi 40:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akanipandisha toka shimo la uharibifu, Toka udongo wa utelezi; Akaisimamisha miguu yangu mwambani, Akaziimarisha hatua zangu.
Shirikisha
Soma Zaburi 40