Zaburi 128:1
Zaburi 128:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Heri wote wamchao Mwenyezi-Mungu, wanaoishi kufuatana na amri zake.
Shirikisha
Soma Zaburi 128Zaburi 128:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri kila mtu amchaye BWANA, Aendaye katika njia yake.
Shirikisha
Soma Zaburi 128