Methali 8:13
Methali 8:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumcha Mwenyezi-Mungu ni kuchukia uovu. Nachukia kiburi, majivuno na maisha mabaya; nachukia na lugha mbaya.
Shirikisha
Soma Methali 8Methali 8:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kumcha BWANA ni kuchukia uovu; Kiburi na majivuno, na njia mbovu, Na kinywa cha ukaidi pia nakichukia.
Shirikisha
Soma Methali 8