Methali 6:10-11
Methali 6:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Wasema: “Acha nilale kidogo tu, acha nisinzie kidogo! Niache nikunje mikono nipumzike kidogo!” Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara utakufuata kama jambazi.
Shirikisha
Soma Methali 6Methali 6:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Shirikisha
Soma Methali 6