Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 6:10-11

Mithali 6:10-11 SRUV

Bado kulala kidogo, kusinzia kidogo, Bado kukunja mikono upate usingizi! Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.

Soma Mithali 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 6:10-11