Methali 5:3-4
Methali 5:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mdomo wa mwanamke mpotovu ni mtamu kama asali, maneno yake ni laini kuliko mafuta; lakini hatimaye ni mchungu kama pakanga, ni mkali kama upanga wenye makali kuwili.
Shirikisha
Soma Methali 5Methali 5:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana midomo ya malaya hudondosha asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta; Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga; Ni mkali kama upanga wenye makali kuwili.
Shirikisha
Soma Methali 5