Methali 5:19
Methali 5:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni mzuri kama ayala, apendeza kama paa. Mahaba yake yakufurahishe kila wakati, umezwe daima na pendo lake.
Shirikisha
Soma Methali 5Methali 5:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
Shirikisha
Soma Methali 5