Methali 4:14-15
Methali 4:14-15 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Usiuweke mguu wako katika njia ya waovu, wala usitembee katika njia ya wapotovu. Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Usijiingize katika njia ya waovu, wala usifuate mwenendo wa watu wabaya. Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako.
Shirikisha
Soma Methali 4Methali 4:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usiingie katika njia ya waovu, Wala usitembee katika njia ya wabaya. Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako.
Shirikisha
Soma Methali 4