Methali 26:9-10
Methali 26:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mpumbavu anayejaribu kutumia methali, ni kama mlevi anayejaribu kungoa mwiba mkononi. Mtu amwajiriye mpumbavu au mlevi, ni kama mpiga upinde anayejeruhi kila mtu.
Shirikisha
Soma Methali 26Methali 26:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu. Fundi stadi hufanyiza vitu vyote; Bali amwajiriye mpumbavu ni kama awaajiriye watu wapitao.
Shirikisha
Soma Methali 26