Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 26:9-10

Mithali 26:9-10 NEN

Kama mwiba kwenye mkono wa mlevi ndivyo ilivyo mithali kinywani mwa mpumbavu. Kama mpiga upinde ambaye hujeruhi ovyo, ndivyo alivyo yeye aajiriye mpumbavu au yeyote apitaye njiani.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 26:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha