Methali 25:26-27
Methali 25:26-27 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kama vile chemchemi iliyotibuliwa matope au kisima kilichotiwa taka ndivyo alivyo mtu mwenye haki akishiriki na waovu. Si vyema kula asali nyingi sana, wala si heshima kujitafutia heshima yako mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 25Methali 25:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwadilifu akubaliye kufuata mambo ya mwovu, ni chemchemi iliyochafuliwa au kisima kilichotibuliwa. Si vizuri kula asali nyingi mno; kadhalika haifai kujipendekeza mno.
Shirikisha
Soma Methali 25