Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 25:26-27

Mithali 25:26-27 SRUV

Mwenye haki amwangukiapo mtu mbaya Ni kama chemchemi iliyochafuka, Na kisima kilichokanyagwa. Haifai kula asali nyingi mno; Vile vile mtu kutafuta utukufu wake mwenyewe si utukufu.

Soma Mithali 25