Methali 15:6
Methali 15:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika nyumba ya mwenye haki mna akiba nyingi; Bali mapato ya mtu mbaya huwa taabu tu.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nyumba ya mwenye haki ina hazina kubwa, bali mapato ya waovu huwaletea taabu.
Shirikisha
Soma Methali 15