Methali 15:29
Methali 15:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu yuko mbali na watu waovu, lakini yu karibu na watu wema kuwasikiliza.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA yuko mbali na wasio haki; Bali huisikia sala ya mwenye haki.
Shirikisha
Soma Methali 15