Methali 15:28
Methali 15:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Moyo wa mwadilifu hufikiri kabla ya kujibu, lakini kinywa cha mwovu hububujika uovu.
Shirikisha
Soma Methali 15Methali 15:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Moyo wa mwenye haki hufikiri jinsi atakavyojibu; Bali kinywa cha wasio haki humwaga mabaya.
Shirikisha
Soma Methali 15