Methali 12:18
Methali 12:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Maneno ya ovyo hujeruhi kama upanga, lakini asemayo mwenye hekima huponesha kidonda.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kuna anenaye bila kufikiri, kama kuchoma kwa upanga; Bali ulimi wa mwenye haki ni afya.
Shirikisha
Soma Methali 12