Methali 12:14
Methali 12:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu hufanikiwa kutokana na maneno yake kama apatavyo matokeo ya kazi za mikono yake.
Shirikisha
Soma Methali 12Methali 12:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake; Na atarudishiwa matendo ya mikono yake.
Shirikisha
Soma Methali 12