Methali 11:25
Methali 11:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nafsi ya mtu mkarimu itawandishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mkarimu atafanikishwa, amnyweshaye mwingine maji naye atanyweshwa.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nafsi ya mtu mkarimu itastawishwa; Anyweshaye atanyweshwa mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 11