Methali 11:17
Methali 11:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu mkarimu hufaidika yeye mwenyewe, lakini mtu mkatili hujiumiza mwenyewe.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye rehema huitendea mema nafsi yake; Aliye mkali hujisumbua mwili wake.
Shirikisha
Soma Methali 11