Methali 11:13
Methali 11:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Apitapitaye akichongea hutoa siri, lakini anayeaminika rohoni huficha siri.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwenye udaku hupitapita akifunua siri; Bali mwenye roho ya uaminifu husitiri mambo.
Shirikisha
Soma Methali 11