Methali 11:1
Methali 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa Mwenyezi-Mungu, lakini matumizi ya kipimo halali ni furaha kwake.
Shirikisha
Soma Methali 11Methali 11:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mizani ya udanganyifu ni chukizo kwa BWANA; Bali vipimo vilivyo sawasawa humpendeza.
Shirikisha
Soma Methali 11