Wafilipi 4:12
Wafilipi 4:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Najua hali ya kutokuwa na vitu na hali ya kuwa na vingi. Nimejizoeza kuridhika katika kila hali na mahali; niwe nina cha kutosha au nina njaa; iwe nina ziada au nimepungukiwa.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4Wafilipi 4:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Najua kudhiliwa, tena najua kufanikiwa; katika hali yoyote, na katika mambo yoyote, nimefundishwa kushiba na kuona njaa, kuwa na vingi na kupungukiwa.
Shirikisha
Soma Wafilipi 4