Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 4:12

Wafilipi 4:12 BHN

Najua hali ya kutokuwa na vitu na hali ya kuwa na vingi. Nimejizoeza kuridhika katika kila hali na mahali; niwe nina cha kutosha au nina njaa; iwe nina ziada au nimepungukiwa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wafilipi 4:12