Hesabu 29:1
Hesabu 29:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Siku ya kwanza ya mwezi wa saba, mtafanya mkutano mtakatifu. Msifanye kazi. Hiyo ni siku ya kupiga tarumbeta.
Shirikisha
Soma Hesabu 29Hesabu 29:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena mwezi wa saba, siku ya kwanza ya mwezi, mtakuwa na kusanyiko takatifu; hamtafanya kazi yoyote ya utumishi; ni siku ya kupiga tarumbeta kwenu.
Shirikisha
Soma Hesabu 29