Hesabu 14:8
Hesabu 14:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ikiwa Mwenyezi-Mungu amependezwa nasi, atatupeleka huko na kutupa nchi inayotiririka maziwa na asali.
Shirikisha
Soma Hesabu 14Hesabu 14:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikiwa BWANA anatufurahia, atatuingiza katika nchi hii atupe iwe yetu, nayo ni nchi yenye wingi wa maziwa na asali.
Shirikisha
Soma Hesabu 14