Hesabu 14:24
Hesabu 14:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Bali kwa sababu mtumishi wangu Kalebu ni tofauti, na amenitii kikamilifu, nitamfikisha kwenye nchi hiyo aliyoingia na wazawa wake wataimiliki.
Shirikisha
Soma Hesabu 14Hesabu 14:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini mtumishi wangu Kalebu, kwa kuwa alikuwa na roho nyingine ndani yake, naye amenifuata kwa moyo wote, nitamleta yeye mpaka nchi hiyo aliyoingia; na wazao wake wataimiliki.
Shirikisha
Soma Hesabu 14