Hesabu 14:2
Hesabu 14:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Waliwalalamikia Mose na Aroni wakisema, “Afadhali tungefia Misri! Afadhali tungefia papa hapa jangwani!
Shirikisha
Soma Hesabu 14Hesabu 14:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha wana wa Israeli wote wakamnung'unikia Musa na Haruni; mkutano wote wakawaambia, Ingekuwa heri kama tungalikufa katika nchi ya Misri, au, ingekuwa heri kama tungalikufa katika jangwa hili.
Shirikisha
Soma Hesabu 14