Hesabu 11:1
Hesabu 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu walianza kumlalamikia Mwenyezi-Mungu juu ya taabu zao. Mwenyezi-Mungu aliposikia, alishikwa na hasira, akawapelekea moto. Moto huo uliwaka kati yao na kuchoma upande mmoja wa kambi.
Shirikisha
Soma Hesabu 11Hesabu 11:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha hao watu walikuwa kama wanung'unikao, wakinena maovu masikioni mwa BWANA; BWANA aliposikia hayo, hasira zake zikawaka; na moto wa BWANA ukawaka kati yao, ukateketeza hadi viunga vya kambi.
Shirikisha
Soma Hesabu 11