Nehemia 6:9
Nehemia 6:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Walifanya hivyo ili kututisha wakifikiri: “Hawataendelea na kazi, kwa hiyo, hakuna litakalotendeka.” Nikamwomba Mungu wangu nikisema, “Lakini sasa, ee Mungu, nakuomba unipe nguvu.”
Shirikisha
Soma Nehemia 6Nehemia 6:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwani hao wote walitaka kutuogofya, wakisema, Kwa kuwa mikono yao italegea katika kazi, kazi isifanyike. Lakini sasa Ee Mungu, itie nguvu mikono yangu.
Shirikisha
Soma Nehemia 6