Nahumu 2:2
Nahumu 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu anamrudishia Yakobo fahari yake, naam, anawapa tena Waisraeli fahari yao, ingawa wavamizi hawakuwaachia kitu, hata matawi yao ya mizabibu waliyakata.
Shirikisha
Soma Nahumu 2Nahumu 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana BWANA anairudisha fahari ya Yakobo, kama fahari ya Israeli; maana watekao nyara wamewateka, na kuyaharibu matawi ya mizabibu yao.
Shirikisha
Soma Nahumu 2