Nahumu 1:15
Nahumu 1:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watu wa Yuda tazameni: Anakuja kutoka mlimani mtu anayeleta habari njema, mjumbe ambaye anatangaza amani. Adhimisheni sikukuu zenu, enyi watu wa Yuda, timizeni nadhiri zenu, maana waovu hawatawavamia tena, kwani wameangamizwa kabisa.
Shirikisha
Soma Nahumu 1Nahumu 1:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, juu ya milima iko miguu yake aletaye habari njema, atangazaye amani. Zishike sikukuu zako, Ee Yuda, uziondoe nadhiri zako; kwa maana yule asiyefaa kitu hatapita kati yako tena kamwe; amekwisha kukatiliwa mbali.
Shirikisha
Soma Nahumu 1Nahumu 1:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Nahumu 1