Marko 1:12-13
Marko 1:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara akaongozwa na Roho kwenda jangwani, akakaa huko siku arubaini akijaribiwa na Shetani. Alikuwa huko pamoja na wanyama wa porini, nao malaika wakawa wanamhudumia.
Shirikisha
Soma Marko 1Marko 1:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mara Roho akamtoa aende nyikani. Akawako huko jangwani siku arubaini, hali akijaribiwa na Shetani; naye alikuwa pamoja na wanyama wa mwituni, na malaika walikuwa wakimhudumia.
Shirikisha
Soma Marko 1