Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 1:12-13

Marko 1:12-13 SRUV

Mara Roho akamtoa aende nyikani. Akawako huko jangwani siku arubaini, hali akijaribiwa na Shetani; naye alikuwa pamoja na wanyama wa mwituni, na malaika walikuwa wakimhudumia.

Soma Marko 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Marko 1:12-13