Mika 2:1
Mika 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Ole wao wanaopanga kutenda maovu wanaolala usiku wakiazimia uovu! Mara tu kunapopambazuka, wanayatekeleza kwani wanao uwezo.
Shirikisha
Soma Mika 2Mika 2:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ole wao wakusudiao mambo maovu, na kutenda mabaya vitandani mwao! Kunapopambazuka asubuhi huyafanya, sababu wana uwezo mikononi mwao.
Shirikisha
Soma Mika 2