Mathayo 6:17-18
Mathayo 6:17-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso; ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe lakini unapofunga, paka kichwa chako mafuta, nawa uso wako, ili mtu yeyote asijue kwamba unafunga, ila ujulikane tu kwa Baba yako asiyeonekana. Naye Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Shirikisha
Soma Mathayo 6