Mathayo 5:3-6
Mathayo 5:3-6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Heri walio maskini rohoni, maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri walio na huzuni, maana watafarijiwa. Heri walio wapole, maana watairithi nchi. Heri wenye njaa na kiu ya kufanya atakavyo Mungu, maana watashibishwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:3-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Heri walio maskini wa roho; Maana ufalme wa mbinguni ni wao. Heri wenye huzuni; Maana hao watafarijika. Heri wenye upole; Maana hao watairithi nchi. Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 5Mathayo 5:3-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mathayo 5