Mathayo 26:13
Mathayo 26:13 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Amin, nawaambia, mahali popote ulimwenguni ambapo hii Injili itahubiriwa, jambo hili alilolitenda huyu mwanamke litatajwa pia kwa ukumbusho wake.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawaambieni kweli, popote ulimwenguni ambapo hii Habari Njema itahubiriwa, kitendo hiki alichofanya mama huyu kitatajwa kwa kumkumbuka yeye.”
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambieni, Kila patakapohubiriwa Injili hii katika ulimwengu wote, tendo hilo alilolitenda huyu litatajwa pia kwa kumbukumbu yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 26