Mathayo 26:12
Mathayo 26:12 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Alipomiminia haya manukato kwenye mwili wangu, amefanya hivyo ili kuniandaa kwa ajili ya maziko yangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Huyu mama amenimiminia marashi ili kunitayarisha kwa maziko.
Shirikisha
Soma Mathayo 26Mathayo 26:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana kwa kunimwagia mwili wangu marhamu hiyo, ametenda hivyo ili kuniweka tayari kwa maziko yangu.
Shirikisha
Soma Mathayo 26