Mathayo 13:57-58
Mathayo 13:57-58 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wakawa na mashaka naye. Lakini Yesu akawaambia, “Nabii hakosi kuheshimiwa, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake!” Kwa hiyo, hakutenda miujiza mingi pale kwa sababu ya kutoamini kwao.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:57-58 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wakachukizwa naye. Yesu akawaambia, Nabii hakosi kupata heshima, isipokuwa katika nchi yake, na nyumbani mwake mwenyewe. Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Shirikisha
Soma Mathayo 13