Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 13:57-58

Mathayo 13:57-58 NENO

Wakachukizwa naye. Lakini Isa akawaambia, “Nabii hakosi heshima, isipokuwa katika nchi yake na nyumbani mwake.” Naye hakufanya miujiza mingi huko kwa sababu ya kutokuamini kwao.