Malaki 4:5-6
Malaki 4:5-6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya BWANA, iliyo kuu na kuogofya. Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana.
Shirikisha
Soma Malaki 4Malaki 4:5-6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya BWANA. Ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, la sivyo nitakuja na kuipiga nchi kwa laana.”
Shirikisha
Soma Malaki 4Malaki 4:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tazama, kabla ya kufika siku ile kuu na ya kutisha, nitamtuma nabii Elia. Nabii Elia atawapatanisha wazazi na watoto wao; la sivyo, nitakuja na kuiangamiza nchi yenu.”
Shirikisha
Soma Malaki 4