Maombolezo 3:18
Maombolezo 3:18 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Mwenyezi Mungu.”
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nikasema, Nguvu zangu zimepotea, Na tumaini langu kwa BWANA.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimewaza “Nimekata tamaa kabisa, tumaini langu kwa Mwenyezi-Mungu limetoweka.”
Shirikisha
Soma Maombolezo 3Maombolezo 3:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikasema, Nguvu zangu zimepotea, Na tumaini langu kwa BWANA.
Shirikisha
Soma Maombolezo 3