Yona 1:1-2
Yona 1:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku moja, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Yona, mwana wa Amitai: “Ondoka uende Ninewi, ule mji mkuu, ukaukemee, maana nimeona uovu wake ni mkubwa mno.”
Shirikisha
Soma Yona 1Yona 1:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi neno la BWANA lilimjia Yona, mwana wa Amitai, kusema, Ondoka, uende Ninawi, mji ule mkubwa, ukapige kelele juu yake; kwa maana uovu wao umepanda juu mbele zangu.
Shirikisha
Soma Yona 1