Yona 1:1-2
Yona 1:1-2 NENO
Neno la Mwenyezi Mungu lilimjia Yona mwana wa Amitai: “Nenda mji mkubwa wa Ninawi ukahubiri dhidi yake, kwa sababu uovu wake umefika kwangu.”