Yoeli 2:28
Yoeli 2:28 Biblia Habari Njema (BHN)
“Kisha hapo baadaye nitaimimina roho yangu juu ya binadamu wote. Watoto wenu wa kike na wa kiume watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono.
Shirikisha
Soma Yoeli 2Yoeli 2:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata itakuwa, baada ya hayo, ya kwamba nitamimina roho yangu juu ya wote wenye mwili; na wana wenu, wa kiume na wa kike, watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono
Shirikisha
Soma Yoeli 2