Yoeli 2:12
Yoeli 2:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Hata sasa,” asema BWANA, “nirudieni kwa mioyo yenu yote, kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza.”
Shirikisha
Soma Yoeli 2Yoeli 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
“Lakini hata sasa,” nasema mimi Mwenyezi-Mungu, “Nirudieni kwa moyo wote, kwa kufunga, kulia na kuomboleza.
Shirikisha
Soma Yoeli 2Yoeli 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini hata sasa, asema BWANA, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuomboleza
Shirikisha
Soma Yoeli 2