Yohane 3:5-6
Yohane 3:5-6 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamjibu, “Kweli nakuambia, mtu asipozaliwa kwa maji na Roho, hawezi kamwe kuingia katika ufalme wa Mungu. Mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa Roho.
Shirikisha
Soma Yohane 3Yohane 3:5-6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akajibu, Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa kwa maji na kwa Roho, hawezi kuuingia ufalme wa Mungu. Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho.
Shirikisha
Soma Yohane 3