Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 3:5-6

Yohana 3:5-6 NEN

Yesu akamwambia, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu yeyote anayeweza kuingia Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa kwa maji na kwa Roho. Mwili huzaa mwili, lakini Roho huzaa roho.